Friday, July 1, 2011

Simba yajihakikishia Robo Fainali Kagame Cup

Timu ya Simba ya Tanzania imejihakikishia kucheza hatua robo fainali leo hii baada ya kuifunga Etincelles ya Rwanda kwa jumla ya magoli 2 - 0.

Bofya hapa kwa habari zaidi

No comments: