Tuesday, August 23, 2011

Nyota wa Basket Ball amtembelea Kikwete

Mchezaji maarufu wa Basket Ball kutoka nchini Marekani Howard akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete zawadi ya Jezi yenye jina lake.

No comments: