Wednesday, August 24, 2011

Gaddafi Kishwaaa!!!!!!!!!!! hana lake Libya

Waasi wateka Ikulu

Kanali Muamar Gaddafi
Ni wazi kabisa sasa Rais wa Libya Mumuar Gaddafi siku zake za utawala zimefikia ukingoni baada ya majeshi ya waasi kutamba katika mji Mkuu wa Tripol na sasa wamevamia Ikulu ya nchi hiyo na kuharibu haribu baadhi picha na nyaraka za kiongozi huyo.

Hata Gaddafi amesikika akisema kupitia redio moja kwamba atapambana kuukomboa mji Mkuu wa Tripol. Majeshi yanayomtii bado yameshikilia maeneo machache ya mji huo.

tutaendelea kukuletea taarifa zaidi kwa kadri tukakavyokuwa tunazipata

No comments: