Friday, August 19, 2011

Dr. Peter Kamfumu ndiye mgombea CCM Igunga

Dr. Peter Kamfumu
Hatimaye Chama cha Mapinduzi kimtangaza kuwa Dr. Peter Kamfumu ndiye atakayepeperusha bendera ya Chama hicho katika jimbo la Igunga imefahamika. Hizi ni habari za hivi punde.

Tutaendelea kuwaletea taarifa zaidi kwa kadri tutakavyozipata

No comments: