![]() |
Rais Jakaya Kikwete akipita kwenye mvua kubwa kwenda kuhutubia wananchi wakati mvua inayonyesha huko Morogoro Mashariki mwa Tanzania |
![]() |
Rais Jakaya Kikwete akihutubia wananchi huku mvua kubwa ikiendelea kunyesha huko Morogoro |
![]() |
Baadhi ya wananchi walijitokeza kumsikiliza Rais Jakaya Kikwete huko Morogoro huku mvua kubwa ikiendelea kunyesha |
No comments:
Post a Comment