Saturday, October 6, 2012

Arsenal , Chelsea na Man City kidedea!

Timu za Arsenal , Chelsea na Manchester City zimeshinda mechi zao kwa idadi nzuri ya magoli. Manchester City wakicheza na Sunderland waliweza walivurumishia magoli 3 - 0.Mechi iliyofuata ilikuwa kati ya Chelsea na Norwich City ambapo Chelsea bila huruma ikaibamiza timu hiyo iliyoingia ligi kuu kwa msimu huu magoli 4 - 1.

Mechi nyingine ya kukata na shoka ilikuwa katika Arsenal na West Ham United ambapo hadi mpira unamaliza Arsenal ilikuwa imeibanjua West ham jumla ya magoli 3 - 1.

No comments: