Friday, October 26, 2012

Waislamu washambulia Masheikh mmoja wampiga bomu mwingine akatwa mapanga

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Magesa Mulugo akimjulia hali Sheikh  Abulkarim Jonjo
Katibu wa BAKWATA mkoa wa Arusha Sheikh Abulkarimu Jonjo amejeruhiwa vibaya baada ya kupigwa na kitu kinachodhaniwa ni bomu kilichorushwa nyumbani kwake na watu wanaodhaniwa ni waislamu wenzake katika kile kinachodaiwa ;kuwa ni mvutano baina yao.

Hata hivyo hadi sasa hakuna taarifa za kuthibitisha madai hayo japo wapo wanaosema huenda ni baadhi ya waislamu wenzake waliokuwa wakigombea uongozi wa msikiti ndio wametekeleza shumbulizi hilo.

Polisi mkoani Arusha ikiongozwa na Kamanda wa Mkoa huo Liberatus Sabas bado inaendelea na uchunguzi ili kujua nini chanzo cha tukio.

Nako huko mkoani Ruvuma wilayani Tunduru Sheikh Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Waziri Ally Chilakwechi, amepigwa na watu na watu wanaodhaniwa kuwa ni waislamu wenye msimamo mkali ambao walivamia nyumbani kwake eneo la Mchangani mjini Tunduru na kujeruhiwa vibaya.


Sheikh Chilakwechi ambaye amelazwa hosptalini amesema alishambuliwa na watu juzi

Akielezea mkasa huo, alisema siku ya tukio alifuatwa na watu watatu majira ya saa 2:30 usiku nyumbani kwake wakidai kuwa kuna vurugu zimetokea katika msikiti wa Kitumbini eneo la Majengo, hivyo anahitajika kwenda kutuliza vurugu hizo.

Alisema kwa kuwa alikuwa hawatambui watu hao, isingekuwa vyema kwenda huko kutokana na umbali kwa kuwa kutoka nyumbani kwake hadi kwenye msikiti huo ni zaidi ya kilomita mbili.

Shekhe Chilakwechi alisema baada ya kuwajibu hivyo, watu hao walitoka nje na ghafla kundi jingine la watu lilimvamia kwa kumrushia mchanga usoni na kuanza kumshambulia  sehemu kadhaa za mwili.


4 comments:

oakleyses said...

chanel handbags, burberry outlet online, christian louboutin outlet, nike air max, oakley vault, tiffany and co jewelry, michael kors outlet online, michael kors handbags, burberry outlet online, ray ban sunglasses, michael kors outlet store, prada handbags, oakley sunglasses, kate spade outlet, christian louboutin shoes, michael kors outlet, longchamp handbags, christian louboutin, coach outlet store online, true religion outlet, louis vuitton outlet, longchamp outlet online, nike free, true religion, polo ralph lauren outlet, gucci handbags, louis vuitton handbags, coach outlet, louis vuitton outlet, prada outlet, nike air max, jordan shoes, nike outlet, polo ralph lauren, louis vuitton, longchamp outlet, red bottom shoes, tory burch outlet online, kate spade outlet online, michael kors outlet online, coach purses, ray ban outlet, michael kors outlet online, coach outlet, tiffany jewelry, cheap oakley sunglasses, louis vuitton outlet online

oakleyses said...

true religion jeans, sac louis vuitton, sac michael kors, vans pas cher, lacoste pas cher, timberland, chaussure louboutin, nike roshe, tn pas cher, true religion outlet, louis vuitton pas cher, nike air max, nike blazer pas cher, michael kors canada, nike air max, new balance pas cher, nike free, air max, sac vanessa bruno, hollister, mulberry uk, longchamp pas cher, ray ban pas cher, burberry pas cher, lululemon, nike air force, ray ban uk, ralph lauren, oakley pas cher, hermes pas cher, louis vuitton, air jordan, michael kors uk, nike roshe run, air max pas cher, north face, scarpe hogan, louis vuitton uk, nike free pas cher, longchamp, north face pas cher, hollister, ralph lauren pas cher, converse pas cher, barbour, guess pas cher, abercrombie and fitch

oakleyses said...

ferragamo shoes, soccer shoes, nike roshe, nfl jerseys, vans outlet, jimmy choo shoes, beats headphones, reebok shoes, valentino shoes, lululemon outlet, birkin bag, p90x workout, ugg outlet, asics shoes, mac cosmetics, longchamp, hollister, mcm handbags, ugg, babyliss, marc jacobs outlet, north face jackets, insanity workout, celine handbags, soccer jerseys, uggs on sale, canada goose outlet, wedding dresses, uggs outlet, replica watches, uggs outlet, canada goose, nike huarache, north face jackets, ugg boots clearance, mont blanc pens, instyler ionic styler, herve leger, nike trainers, canada goose outlet, canada goose outlet, giuseppe zanotti, new balance outlet, bottega veneta, ghd, ugg boots, chi flat iron, abercrombie and fitch, ugg soldes

oakleyses said...

pandora jewelry, swarovski jewelry, ray ban, timberland shoes, canada goose, pandora uk, hollister, ugg, uggs canada, nike air max, karen millen, toms outlet, moncler outlet, coach outlet, lancel, moncler, hollister clothing, juicy couture outlet, baseball bats, juicy couture outlet, pandora charms, moncler, louboutin, links of london uk, supra shoes, parajumpers outlet, wedding dress, air max, canada goose, replica watches, moncler outlet, converse shoes, canada goose pas cher, moncler, gucci, ralph lauren, moncler, montre femme, swarovski uk, oakley, louis vuitton canada, moncler, converse, thomas sabo uk, canada goose, hollister canada, iphone 6 case, vans