Thursday, October 25, 2012

Waziri aliyesema Tanzania ni Muungano wa Pemba na Zimbabwe ajitetea

Naibu Waziri Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philip Mulugo


Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philip Mulugo aliyejikanyaga na kusababisha gumzo kubwa Tanzania kuhusu namna alivyokuwa akiwasilisha mada kwamba Tanzania ni Muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe amejitetea na kusema aliteleza ulimi hivyo anaomba msamaha. Ebu sikiliza utetezi wake hapa china kama alivyohojiwa na kituo cha redio cha Clouds FM.

Bofya usikilize mahojiano hayo


Kama ulipitwa na aliyoyasema ebu angalia video hii hapa chini


No comments: