Monday, November 26, 2012

Kifo cha Sharobaro Billionea!! Msikilize Kamanda wa Polisi akithibitisha kifo


Kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga Constantine Massawe akithibitisha kifo cha Hussein Mkiety maarufu Sharobaro. Msikilize wewe mwenyewe hapa chini

Habari ambazo zimetufikia hivi punde zinasema Msanii maarufu wa michezo ya kuchekesha ambaye pia  ni mwanamuziki wa Bongo Flava Hussein Mkiety maarufu kwa  Sharo baro Millionea amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea  huko Muheza mkoani Tanga.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tanga Constantine Masawe ,Hussein amefariki jioni hii katika eneo la Lusanga Muheza.
Msikilize kamanda wa Polisi afafanua kuhusu kifo hicho
2 comments:

Faith Masheti said...

sharo baro,we will miss you even though you hav left wonderful memories with us.may your soul rest in eternal peace forever

Fghkfhk Dfgaert said...

qzz0521
canada goose outlet
coach outlet
magic jerseys
mulberry handbags
giuseppe zanotti outlet
ray ban sunglasses
cheap jordans
yeezy boost
ugg outlet
michael kors outlet