Friday, January 25, 2013

Burkina Faso yairarua Ethiopia 4-0, Zambia Nigeria sare 1-1

Kipa wa  Zambia Kenedy Mweene akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kufunga penati kwa ustadi mkubwa dhidi ya Nigeri timu hizo mbili Zambia na Nigeria zimetoka sare ya 1- 1


Bofya hapa kwa Matokeo, ratiba na Msimamo wa makundi Kombe la Mataifa la Mataifa ya Afrika

No comments: