Tuesday, January 8, 2013

Nani kama Messi!!! Ashinda tena tuzo Mchezaji Bora wa Dunia

Lionel Messi na tuzo yake baada ya kutangazwa kuwa Mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia

Messi na Rais wa FIFA Sepp Blatter

Messi akiwa na Nyota wenzake Christiano Ronaldo na Andres Aniesta


Messi akitangazwa kuwa Mchezaji wa Bora wa Dunia