Thursday, February 21, 2013

Ni Majonzi Mazishi ya Padri Evarist huko Zanzibar

Picha za mazishi ya padri Evarist Mushi aliyeuwawa kwa kupigwa kwa risasi asubuhi ya tarehe 17 mwezi huu huko visiwani Zanzibar akijiandaa kwenye ibada kanisa katoliki parokia ya Minara miwili visiwani humo ambapo watu wasiofahamika wakiwa kwenye pikipiki walimpiga risasi padri huyo akiwa ndani ya gari lake na kufariki dunia.
Mazishi ya Padri Evaristus Mushi

Rais wa Zanzibar Dr Ali Mohamed Shein akiweka saini kitabu cha maombolezo

Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa akitia saini kitabu cha maombolezo


Askofu akibariki mwili wa Marehemu wakati wa mazishi ya Padri Evaristus


Mbunge wa kuteuliwa na Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia akitoa heshima za mwisho

Waombolezaji wakitoa heshima za mwishoViongozi wa kidini wakitoa heshima za mwisho

Jeneza lenye mwili wa Marehemu Padri Evaritus Mushi

No comments: