Mudhama Policap Kardinali Pengo (kulia) leo hii akiwa na Makardinali wenzake Vitican City |
Mudhama Policap Kardiali Pengo kushoto akiwa na mmoja wa makardinali hapo jana mjini Vatican |
Zoezi la kumchagua papa atakayeongoza kanisa Katoliki duniani limeanza Vatican City kwenye jumba maarufu la Sistine Chapel ambalo hutumika kwa ajili hiyo.
Makardinali wapatao 115 akiwepo Mudhama Policarp Kardinali Pengo wa Tanzania ni miongoni mwa walikusanyika kufanya zoezi hilo.
Yoyote kati ya makardinali hao anaweza kuwa papa mpya hivyo Kardinal Pengo naye ana nafasi ya kuwa papa mpya baada ya Papa Benedict xiv ambaye amestaafu.
Kwa sasa Papa Benedict amepewa jina jipya na ataitwa Papa Emaritus au Papa Emeritus wa Roma.
Kinachosubiriwa hapo kwa sasa ni moshi mweupe ambao ndio utakaonyesha papa mpya amepatikana na kama hajapatikana baada ya kupiga kura moshi mweusi utaonekana.
Makardinali hao watakaa katika jumba hilo hadi papa apatikane. Hawaruhusiwi kuwasiliana na mtu yoyote na watakuwa wakipiga kura mara nne kwa siku.
1 comment:
WWW0620
ray ban sunglasses
balenciaga sneakers
palladium boots
ed hardy clothing
arcteryx jacket
cheap jordans
y3 shoes
polo ralph lauren
vans shoes
fossil watches
Post a Comment