Saturday, June 29, 2013

Barak Obama mtu aliyeonja maisha ya kimaskini

Obama alipokuwa mtoto
Obama akiwa na baba yake Hussein Obama  raia wa Kenya Obama akiwa na bibi yake kenya alipokwenda kumtembelea

Siku hiyo wanafamilia wote walifurahi kumwona alipomtembelea bibi yake Kenya

mmoja wa wanafamilia akimpa company

Obama akimsaidia bibi yake kubeba mzigo wakati alipomtembelea
Obama akiwa na bibi na babu waliomlea baada ya mama yake kufariki dunia


Obama akiwa na mama yake ambaye ni marehemu

Obama akiwa na mama yake na baba yake wa kambo

Obama katika picha na wanafamilia upande wa baba yake raia wa Kenya