Thursday, June 20, 2013

Mbowe na Lema wajisalimisha Polisi Arusha

Freeman Mbowe

Godbless Lema

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe na Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema leo wamejisalisha polisi mkoani baada ya kudaiwa kwamba walikuwa wakisakwa na jeshi hilo.

Hata hivyo taarifa zinasema baada ya mahojiano waliachiwa