Saturday, June 15, 2013

Bomu lalipuka mkutano wa Kampeni za CHADEMA Arusha
Baadhi ya watu waliojeruhiwa katika mlipuka huo
Hofu imetanda katika mji wa Arusha baada ya bomu kulipuka katika mkutano wa kampeni za udiwani za Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.

Hadi sasa habari ambazo hazijathibitishwa zinaeleza kuwa watu wawili wamefarika na mamia kujeruhiwa