Sunday, June 2, 2013

Mwili wa Mangwea kuwasili jumatatu, mazishi jumanne


Mwili wa mwanamuziki wa kizazi kipya bongo fleva Marehemu Albert Mangwea utawasili kesho jumatatu kutoka Afrika ya kusini na mazishi yake yanatarajiwa kufanyika siku ya jumanne nyumbani kwao Kihonda Morogoro.