Tuesday, July 16, 2013

Ni majonzi vifo vya wanajeshi wa Tanzania walikufa Darfur

Miili ya wanajeshi wa Tanzania waliouawa Darfur Sudan ikiapewa heshima ya kijeshi

Miiili ikiandaliwa kwa ajili ya safari

Baadhi ya wanajeshi wa Tanzania waliopo Darfur

Mkuu wa Kikosi cha majeshi ya Umoja wa Mataifa kilichopo Darfur ambaye ni Mtanzania Luteni General Paul Mella akiwatembelea majeruhi wa tukio hilo

Baadhi ya askari wa umoja wa mataifa wakiwemo wa Tanzania ambao wamejeruhiwa katika tukio hilo