Thursday, July 4, 2013

Safari ya Obama Tanzania katika Picha

Rais Barack Obama na familia yake akiwemo mke wake Mitchelle Obama siku walipowasili katika uwanja wa ndege wa Julias Kambarage Nyerere

Rais Barack Obama na mke wake Mitchelle Obama siku walipowasili katika uwanja wa ndege wa Julias Kambarage Nyerere
 Rais Barack Obama na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha ikulu ya Dar es Salaam

Rais Obama na mwenyeji wake Rais Kikwete wakiongea na waandishi wa habari
 Rais Barack Obama akipanda mti wa kumbukumbu ikulu ya Dar es Salaam