Wednesday, July 20, 2011

Barua inayomkaanga Jairo hii hapaDavid Jairo alipowahi kuhojiwa na BBC
Barua iliyoandikwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini  David Jairo kwenda kwenye idara zilizo chini ya Wizara hiyo kwa ajili ya kuzitaka zichangie shilingi milioni 50 imepatikana na sasa imeanza kuchapishwa na vyombo mbali mbali vya habari na nakala yake Kishindoleo kuipata.

Wakati akichangia bajeti Wizara ya Nishati na Madini jumatatu wiki hii Mbunge wa Kilindi Beatrice Shelukindo alipasua jipu hadhari pale alipoisoma barua hiyo (hapo juu) ndani ya bunge jambo lililowashtua wabunge akiwemo Waziri Mkuu Mizengo Pinda ambaye ameahidi kuwasilisha jambo hilo kwa Rais Jakaya Kikwete kwa hatua zaidi.

No comments: