Thursday, November 8, 2012

Moto wa Mwakyembe Mkali: Afukuza kazi Bodi ya Bandari

Dr Harrison Mwakyembe Waziri wa Uchukuzi wa Tanzania

Waziri wa Uchukuzi wa Tanzania Dr Harison Mwakyembe amefuta  uteuzi wa wajumbe wa Bodi ya Bandari Tanzania na kuteua wajumbe wapya.

No comments: