Wednesday, November 28, 2012

Ni Vilio na Majonzi, Sharobaro azikwa Picha za Mazishi hizi hapa

Masheikh wakiuswalia mwili wa Marehemu Sharobaro
Marehemu  Hussein Ramadhan Mkiety maarufuf Sharobaro Billionea


Waombolezaji wakibeba Jeneza lenye mwili wa Marehemu Sharobaro

Waombolezaji wakiweka udongo kwenye kaburi la alimwozikwa Marehemu Hussein Ramadhan Mkiety Maarufu Sharobaro

Msanii mwenzake na Marehemu Athuman Amri maarufu King Majuto akiweka udongo kwenye kaburi la Marehemu wakati wa Mazishi

Picha kwa hisani ya Blog ya Michuzi