Saturday, January 12, 2013

Sherehe za Mapinduzi Zanzibar leo zafana

Mgeni Rasmi Rais wa Zanzibar Dr Alli Mohamed Shein akiwasili na kusalimiana na viongozi akiwemo Rais Jakaya Kikwete

Rais wa Zanzibar Dr Alli Mohamed Shein akikagua gwaride wakati wa sherehe za Mapinduzi

Rais wa Zanzibar Dr Shein akiendelea kukagua gwaride

No comments: