Monday, January 14, 2013

Wanafunzi wa IFM wadai kubakwa waandamana kwenda Mambo ya Ndani

Wanafunzi wa Chuop Cha Uongozi wa Fedha
cha jijini Dar es Salaam (IFM) wakiwa mbele ya geti la Wizara ya Mambo ya ndani
walipovamia leo majira ya saa nne nanusu asubuhi wakiwa na madai ya kutopewa
ulinzi na jeshi la polisi kwenye makazi yao ya Hosteli za Kigamboni kutokana na
kuvamiwa na majambazi mara kwa mara. Wanafunzi hao walidai siku ya Ijumaa
walifanya kikao na jeshi hilo ili wawape ulinzi lakini suala la ajabu siku
waliyofanya kikao na Jeshi hilo ndio siku waliovamiwa wenzao wawili wakiume na
kubakwa  hali iliyosababishwa wanafunzi
hao kubakwa. Majambazi hao wamekua wakidai kupewa Laptop simu na fedha kama
mwanafunzi akikataa humfanyia vitendo vya kulawiti.