| Askofu Mkuu wa Jimbo la Arusha Josephat Lebulu akinyunyiza maji ya baraka katika majeneza ya marehemu wa mlipuko wa bomu |
| Mapadri wa kanisa Katoliki wakibeba moja ya majeneza ya waliuawa katika mlipuko wa bomu |
| Mwadhama Policarp Kadinali Pengo akiendesha ibada ya mazishi |
| jeneza la mtoto ambaye ni mmoja wa waliuawa katika mlipuko huo wa bomu |
| Mapadri wakibeba misalaba ya marehemu waliokufa katika mlipuko wa bomu |
| Jeneza la mmoja wa waliouawa katika mlipuko wa bomu likibebwa na mapadri |
No comments:
Post a Comment