Wednesday, May 29, 2013

Watanzania wamlilia msanii Mangwea
Watanzania wanaendelea kuombeleza kifo cha msanii wa bongo fleva Albert Mangwea ambaye amefariki nchini Afrika ya Kusini hapo jana.

Mmoja ameandika kupitia ukurasa wa Facebook kuhusu kifo cha MangweaAmeandika Saico Dos

KIFO CHA ALBERT MANGWAIR 28/May/2013, R.I.P!!! kiukwel alikuwa yeye na jamaa zake 3 yan walikuwa wa 4, Leo asubuh walikuwa wanarud Brixton wakitokea town Joburg na Ngwair tiketi yake ya ndege ilikuwa tayar kwa ajir yakusafir Leo hii hivyo tulikuwa tayar kumsindkiza Airport Leo Asubuh, hvyo wakamgongea mlango mshikaj akawafungulia, waliingia ndan lakn wakawa wapo kama tungi hivi, sasa ikawa wanaendelea kula mambo yao ndan, ila ghafla kama Mangwair akaanza kujisikia ovyo hv, then akaanguka nakujihs anapoteza faham watu wakaona kama anafanya masihala, so ikazd had mida ya saa sita mchana ikawa serious pia jamaa mwingine nae akapoteza faham hvyo hvyo coz walizidisha mambo kutumia, nas tukaitwa kumchek ikabd tuogope mpaka mida ya saa nane mchana ilibd tumpigie simu jamaa fulan Msouth Africa ni Taxi Driver ili tumpeleke Hospital coz sis tuliogopa kumpeleka na magar yetu Binafsi, akaja tulimchukua pamoja na yule mwingne had hospital kufika kule Doctor kumchek alikuwa tayar ameshakufa na yule mwingne bado yu hai ila hali yake sio nzur, ilibd jamaa Kat yetu aka sign kuhusiana na kufa kwa Albert Mangwair hvyo kesho Doctor atatupatia karatas ili tukabdhiwa mwili wake kwa ajr yakuusafirisha Tanzania!! Hivyo Ndvyo ilivyokuwa had kufa kwa Albert Mangwair mwili wake upo Helen Joseph Hospital in Hursthill next to Aukland park and University of Johannesburg, also Brixton and Westdene in Johannesburg South Africa!!