Thursday, July 21, 2011

Mrisho Ngassa aichachafia ngome ya Manchester United

Mrisho Ngassa akipambana vikali na beki wa Man U Fabio da Silva wakati timu yake ya Seattle Sounders Fc ilipopambana na Man Ngassa alikuwa akisumbua ngome ya Man U japo walifungwa 7 - 0.
Mrisho Ngassa akipambana na beki wa Man U Rio Fednarnd
Hapa Mrisho Ngassa baada ya kupiga shuti na kukosa goli