Monday, July 18, 2011

Ngeleja kashikwa pabaya, moto kumwakia bungeni

William Ngeleja


Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania William Ngeleja leo hii anatarajiwa kufanya hitimisho la bajeti aliyoiwasilisha bungeni wiki iliyopita huku akikabiliwa na shinikizo kutoka kwa wabunge ambapo baadhi yao wakiwemo kutoka chama chake cha CCM na wengine wa upinzani wamesema hataunga mkono bajeti kwa sababu mbali mbali kubwa likiwa ni suala la kuendelea kuwepo kwa mgao wa umeme na utata katika mikataba ya madini.

No comments: