Monday, August 15, 2011

Rais anapochambua Karafuu na wakulima

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ally Mohamed Shein akishiriki (aliyekaa mwenye suti nyeusi) kuchambua karafuu pamoja na wakulima wa Pemba



No comments: