Sunday, September 11, 2011

Zanzibar yatangaza uchunguzi wa ajali

Watu 200 wahofiwa kufariki ajali ya meli Zanzibar

Rais wa Zanzibar Dk. Alli Mohamed Shein akishiriki juhudi za uokoaji baada ya ajali ya meli.

 Serikali ya Zanzibar imetangaza kuwa itafanya uchunguzi kuhusu ajali ya meli ya Mv Spice iliyotokea huko Zanzibar ambapo zaidi ya watu 200 hadi wanahofiwa kufa.


Rais wa Zanzibar Dk. Alli Mohamed Shein akiwatembelea manusura wa ajali.

No comments: