Sunday, September 30, 2012

Real Madrid yaifanyia mauaji Deportivo 5 - 1

Pepe akimpongeza mchezaji mwenzake Cristiano Ronaldo wa Real Madrid baada ya kufunga bao dhidi ya Deportivo La Coruna. Real Madrid iliiadhibu Deportivo La Coruna 5 - 1.

Carlos Marchena wa Deportivo La Coruna akijaribu kumdhibiti Cristiano Ronaldo wa Real Madrid
Ni patashika nguo chanika Cristiano Ronaldo akidhibitiwa na Carlos Marchena  bila mafanikio Cristiano alifunga magoli 3 kati ya 5.

No comments: