Monday, April 8, 2013

Breaking News!!!!!! Magreth Thatcher amefariki dunia

Margareth Thatcher
Waziri mkuu wa zamani wa Uingereza, Margaret Thatcher amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87.

Msemaji wa Margareth amesema alifariki kutokana na ugonjwa wa kiharusi

Thatcher ndiye mwanamke wa kwanza kuwa waziri mkuu wa Uingereza ambapo anasifika kwa kuleta mageuzi makubwa ya kisiasa nchini Uingereza wakati alipokuwa Wazri Mkuu wa Uingereza.

No comments: