Monday, October 29, 2012

Pete ya Uchumba si Ndoa, Je Mwanamke unajua hiyo ni nini?Rafiki zangu leo tutajifunza kitu kipya kabisa. Naamini utabadili namna ya kufikiri mara mada hii itapofika ukingoni. Nazungumzia kuhusu pete za uchumba. Hizi zimekuwa maarufu sana katika jamii yetu siku hizi.
Watu wanakutana disko, wiki mbili baadaye wanavalishana pete! Tayari ameshachumbiwa na amekuwa chini ya miliki ya mtu. Uko wapi usahihi wa pete za uchumba? Vijana wamechanganyikiwa kwelikweli! Wanataka pete tu!
Inawezekana wewe msichana unayesoma mada hii sasa hivi umevaa pete ya uchumba au pengine uko njiani kuvalishwa...vizuri! Lakini unaelewa nini kuhusu pete ya uchumba? Unautumiaje uchumba wako na mpenzi wako?

Bofya hapa kwa undani zaidi