Sunday, November 4, 2012

Miss Tanzania 2012 ni Bridgitte Alfred: 'Anapendeza...!!!! ,Hapendezi!!!!!!'

Redds Miss Tanzania Bridgitte Alfred akiwa na Washindi wenzake wanaofuatia Mshindi wa Pili Eugene Fabian kushoto na Mshindi wa Tatu Edda Sylevester mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi

Redds Miss Tanzania 2012 Bridgitte Alfred