Monday, January 28, 2013

Masikini DRC yatolewa Kombe la Mataifa ya Afrika

Wachezaji wa DRC na Mali kazini
Timu ya Taifa ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imekuwa timu ya kwanza kutoka ukanda wa Afrika Mashariki na Kati na Kati kutolewa katika Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika inayoendelea nchini Afrika ya Kusini.

Pamoja na kutoka sare ya goli moja 1 -1 dhidi ya Mali lakini hiyo haikusaidia dhahama ya kutolewa kwani walipaswa washinde mchezo huo ili waweze kusonga mbele hatua ya Robo fainali.Msimamo wa kundi B
  Team P W D L GF GA GD Points
  Ghana 3 2 1 0 6 2 4 7
Mali 3 1 1 1 2 2 0 4
DR Congo 3 0 3 0 3 3 0 3
Niger 3 0 1 2 0 4 -4 1
 
Kwa matokeo zaidi Msimamo wa Makundi na Ratiba ya Mechi Kombe la Mataifa ya Afrika bofya hapa

No comments: