Friday, August 30, 2013

Kifo cha Askofu Kulola chawaliza wengi ni wingu zito kanisa la Tanzania

Dr Moses Kulola
Marehemu Dr . Moses Kulola ni Mtume wa kizazi cha leo Afrika Mashariki na kati kanisa litamkumbuka daima
Alitumiwa na MUNGU kuwafunguwa mamilioni kwenye vifungo vya shetani na magonjwa

Askofu Kulola enzi za uhai wake alitumiwa na Mungu kuwavuta umati wa watu kwa Yesu

Dr Moses Kulola
Hatimaye amemaliza safari yake salama hapa duniani hatunaye kimwili lakini kazi zake zitakumbukwa daima