Wednesday, July 13, 2011

Lowassa ajitokeza achangia milioni 13 kujenga shule

Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa (kulia) akimkabidhi fedha za mchango Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Sekondari ya Edward Lowassa Muft wa Tanzania Issa Shabaan bin Simba (katikati) kwa ajili kumarisha miundo mbinu ya shule hiyo. Kulia ni Mjumbe wa Bodi wa shule hiyo Alfred Tibaigana
Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa ametoa msaada wa shilingi milioni 13 za kitanzania kusaidia shule ya Sekondari ya Edward Lowassa .
Shule  hiyo inayotarajiwa kusomesha watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu itafunguliwa mwakani.

No comments: