Tuesday, July 12, 2011

Wachezaji wa Eritrea waliotoroka wataka kuwa wakimbizi

Waimbukia UNHCR na Mambo ya Ndani


Flimon Tsegay Kulia na Samwel Berhane katikati wote wa Red Sea ya Eritrea. Wachezaji 13 wa timu hiyo wamegoma kurejea kwao na wanahitaji kuwa wakimbizi
Wachezaji 13 wa timu ya Red Sea ya Eritrea ambao walitoweka katika hoteli waliyofikia leo imebainika kuwa walikwenda kwenye ofisi za umoja wa matafa za kuhudumia wa Wakimbizi  UNHCR na baadae kujisalimisha kwenye serikali ya Tanzania kwa lengo kuomba kupewa hadhi ya ukimbizi

No comments: