Wednesday, July 6, 2011

Vurugu kubwa Polisi wapambana na wafanyabiashara Mwanza

Wafanyabiashara wapambana polisi

Vurugu kubwa imetokea leo katika jiji la Mwanza kaskani mwa Tanzania ambapo inadaiwa polisi walipambana wafanyabiashara,Moja ya mitaa ya Mwanza ambayo imekimbiwa na wakazi baada ya kutokea vurugu
Moto uliochomwa katika moja ya mitaa
Kamanda wa Polis wa Mwanza Simon Sira alikuwa na kazi ya ziada