Saturday, July 9, 2011

Yale yaleeee Simba Vs Yanga fainali Kagame Cup

Wachezaji wa Yanga wakifurahia ushindi
Timu ya Yanga ya Tanzania sasa itacheza fainali na Simba nayo ya Tanzania baada ya kuingia fainali ya michuano ya Kagame Cup kufuatia kuiondoa timu ya St. George ya Ethiopia kwa njia ya mikwaju ya penati 5 - 4 katika mechi ya nusu fainali ya michuano hiyo.

Bofya hapa kwa habari zaidi na picha

No comments: