Tuesday, October 30, 2012

Breaking News!!!! Mtanzania apigwa kwa knock out Afghanstan

Habari ambazo zimetufikia hivi punde mpambano baina ya  bondia wa Afghanstan Hamid Rahimi na mtanzania, Said Mbelwa limemalizika kwa Said Mbelwa kushindwa kuendelea baada ya kuumia bega na hivyo Hamid Ramimi kuwapewa ushindi wa technical  knock out.

Pambalo hilo ambalo lilikuwa likufuatiliwa sehemu mbali mbali ilikuwa lilipewa jina la "Pambano la Amani".

No comments: