Monday, October 29, 2012

Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa Treni hiyooo!!! mjini Dar

Waziri wa Uchukuzi Dr. Harison Mwakyembe akikata utepe kuzindua rasmi usafiri wa Treni mjini Dar es Salaam
Abiria wa Dar es Salaam katika usafiri mpya wa treni mjini Dar es Salaam
Moja ya Treni ambayo awali ilikuwa ikijulikana kama TAZARA ambayo nayo imeaanza kazi ya kusafirisha abiria mjini Dar es Salaam
Treni ya reli ya kati ambayo imeanza kazi ya kusafirisha abiria mjini Dar es Salaam

No comments: