Sunday, December 9, 2012

Mwanamke wa miaka 62 aua Jambazi, Yalimvamia nyumbani




Ispekta Generali wa Polisi Said Mwema

Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la mama Mwajuma alikabiliana na majambazi waliovamia nyumba ya jirani yake mama Mwasama katika eneo la Kaole, nje kidogo ya mji wa Bagamoyo na kufanikiwa kumuua mmoja.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Renatus Mwenda amempongeza mwanamke huyo kwa uhodari na ujasiri wake.
“Huu ni ushahidi kuwa wanawake wanaweza,” alisema Renatus jana alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari juu ya tukio hilo lililotokea juzi usiku.



Alisema mama huyo mwenye umri wa miaka 62, alikabiliana na kikundi cha watu wanaosadikiwa kuwa zaidi ya watano na kufanikiwa kumuua mmojawao.

Alisema majambazi hao baada ya kuingia ndani ya nyumba hiyo walifanikiwa kuwadhibiti walinzi na kuvunja mlango na kuingia ndani.
Alisema wakati wakijaribu kuingia ndani, mama Mwajuma anayemiliki bastola aliwarushia risasi kumi na moja ilimpata mmoja wao kifuani na kufa papohapo.

Kamanda alisema hali hiyo iliwafanya majambazi hao kushindwa kukabiliana na mashambulizi hayo na kuamua kutimua mbio.
Alisema majambazi hao waliokuwa na bunduki walirusha risasi ovyo kwa lengo la kujihami li wasifuatwe na wananchi wa eneo hilo.

2 comments:

oakleyses said...

chanel handbags, burberry outlet online, christian louboutin outlet, nike air max, oakley vault, tiffany and co jewelry, michael kors outlet online, michael kors handbags, burberry outlet online, ray ban sunglasses, michael kors outlet store, prada handbags, oakley sunglasses, kate spade outlet, christian louboutin shoes, michael kors outlet, longchamp handbags, christian louboutin, coach outlet store online, true religion outlet, louis vuitton outlet, longchamp outlet online, nike free, true religion, polo ralph lauren outlet, gucci handbags, louis vuitton handbags, coach outlet, louis vuitton outlet, prada outlet, nike air max, jordan shoes, nike outlet, polo ralph lauren, louis vuitton, longchamp outlet, red bottom shoes, tory burch outlet online, kate spade outlet online, michael kors outlet online, coach purses, ray ban outlet, michael kors outlet online, coach outlet, tiffany jewelry, cheap oakley sunglasses, louis vuitton outlet online

oakleyses said...

ferragamo shoes, soccer shoes, nike roshe, nfl jerseys, vans outlet, jimmy choo shoes, beats headphones, reebok shoes, valentino shoes, lululemon outlet, birkin bag, p90x workout, ugg outlet, asics shoes, mac cosmetics, longchamp, hollister, mcm handbags, ugg, babyliss, marc jacobs outlet, north face jackets, insanity workout, celine handbags, soccer jerseys, uggs on sale, canada goose outlet, wedding dresses, uggs outlet, replica watches, uggs outlet, canada goose, nike huarache, north face jackets, ugg boots clearance, mont blanc pens, instyler ionic styler, herve leger, nike trainers, canada goose outlet, canada goose outlet, giuseppe zanotti, new balance outlet, bottega veneta, ghd, ugg boots, chi flat iron, abercrombie and fitch, ugg soldes