Monday, July 11, 2011

Yanga Yatwaa kombe la Kagame mwaka 2011


Wachezaji wa Yanga wakifurahia kombe la Kagame
Yanga ya Tanzania imelitwaa kombe la Kagame 2011 katika uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam Tanzania baada kuwasambaratisha mahasimu wao kisoka Simba pia ya Tanzania kwa goli 1 - 0.

Bofya hapa kwa habari zaidi na picha

No comments: